Je, ni kweli Tanzania ajira hakuna au vijana ndio hawaajiriki?

Jf kuna watu wa kila aina siwezi jua ww wa aina gani usiyesoma kitu ukaelewa au ndio nyie mnasoma heading then mnakuja comment tu πŸ€”πŸ€”πŸ€”
Sawa bana we umeandika kichina mie ni Mtanzania sielewi hio lugha.
 
Tatizo sio wahitimu wala sekta binafsi, tatizo hapa ni kwamba hii nchi ipo sehemu mbaya sana kiuchumi kutokana na serikali iliyopo.
 
Tatizo sio wahitimu wala sekta binafsi, tatizo hapa ni kwamba hii nchi ipo sehemu mbaya sana kiuchumi kutokana na serikali iliyopo.
Tufanyeje ss??tukae kuingoja serikali au ndio tuanze kufikiri nje ya box?
 
Tufanyeje ss??tukae kuingoja serikali au ndio tuanze kufikiri nje ya box?
Kwa kweli tupo pagumu kwa kujua nini cha kufanya kwa sababu sio biashara wala kilimo kinachokubali... zaidi ni kwamba wenye uwezo na njia wanakimbilia zao kwenye siasa za maslahi binafsi
Sisi tunaoitwa wanyonge tupambane tuu kwa namna yoyote ili mradi mkono uende kinywani.
 
You nailed it! Msumari wa mwisho juu ya jeneza marehemu ashushwe kaburini
 
Hivi hakuna hata mfano mmoja duniani wa nchi iliyofanikiwa kupunguza tatizo la ajira?

Kila siku tuna lalamika humu kuwa hakuna ajira lakini hatupendekezi hatua za kuchukuliwa na serikali au sisi wenyewe mmojammoja au kwa umoja wetu na kupunguza au kumaliza shida hii.
 
Hatua & njia kila siku zinapendekezwa mkuu tatizo kuna mtu alishasema hashauriki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…