Je, ni kweli Tanzania ni nchi ya wajinga?!

Tatizo ni kiwango cha ujinga na idadi, hasa ule wa halaiki. Kila sehemu ya dunia ujinga upo.
Changamoto kubwa iliyopo ni wafuasi wa vyama vya siasa na dini kufuata mkumbo kama nyumbu.
 
Sio tu wajinga na Wapumbavu sana na Mazezeta
 
Tatizo ni kiwango cha ujinga na idadi, hasa ule wa halaiki. Kila sehemu ya dunia ujinga upo.
Changamoto kubwa iliyopo ni wafuasi wa vyama vya siasa na dini kufuata mkumbo kama nyumbu.
Kweli Mkuu, sahihi kabisa.
 
Sio tu wajinga na Wapumbavu sana na Mazezeta
Ndo maana tunaongozwa na "wasiotusikiliza". Wanatuzibia masikio na kufanya vile wanavyojisikia, halafu ukifika muda wa uchaguzi, tunawapa tena kura ili waendelee kutunyanyasa!!
 
Walahi aliyeturoga, alishakufa.
Tuache tu kudra za Mungu labda siku moja tutabadilika.
 
Ku
Kunamijinga mingine sijui imepewa laki mojamoja..imeenda dubai sujui ni miandishi ya habari yaani taitapakaaaaaa
 
pole sana mkuu
 
Napitia maoni ya wajinga roho inaniuma tu.
Najua haya ndiyo matokeo ya elimu yetu.
 
Hata wewe kwa haya uliyoandika imejidhihirisha wazi ni mjinga. Badala ya kutetea nchi yako, kazi kupiga propaganda za kijinga za kuwatetea viongozi wajinga.
Huna akili kabisa
Uko sahihi kabisa, na ukihisi una akili timam na heshima kwenye jamii yako basi suala la bandari ndio kipimo chako.
Huwezi kuwa timam ukatetea ujinga bora ukae kimya
 
Uko sahihi kabisa, na ukihisi una akili timam na heshima kwenye jamii yako basi suala la bandari ndio kipimo chako.
Huwezi kuwa timam ukatetea ujinga bora ukae kimya
Naona "wazee" wengi wakiwemo wastaafu wameamua tu kukaa kimya.
Hawataki ugomvi na aidha serikali ama raia!
 
Nadhani Wajinga ni hao viongozi akiwemo Mollel wanaofagilia mkataba wa milele
 
Ni kweli, lakini matokeo yake kama sisi wenyewe hatuto-appreciate, basi wajukuu wetu watafanya hivyoo.
Iko siku huyo huyo mnayemnanga kila siku atatangazwa kuwa SHUJAA WA TAIFA WA MUDA WOTE..
Eti shujaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Swali ni wapi 1.5 tr ilienda na siyo mambo ya shujaa wako wa mchongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…