chatts55
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 600
- 97
fanc help me plz
Si ugogin kwenye web yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
fanc help me plz
Spoon feediNg tu!! no competent.
Ha ha ha ha...private and public sectors ndani ya Tanzania zinafahamu uzuri wa product zinazotoka seminary...ukweli utabaki kuwa ukweli hata kama hakuna anaeamini katika huo na uongo utabaki kuwa uongo hata kama kila mtu ataamini katika huo...ha ha ha eti no compentent te te te te nenda huko chuo utakutana na vijana wa seminari huko chuoni alafu utarudi kuleta ripoti.... HIVI UONI HATA JINSI UNAVYOPANGA HOJA ZAKO WEWE NA MIMI NI TOFAUTI KABISA...In the end, people should be judged by their actions, since in the end, it was
actions that defined everyone.
Hapana mkuu umekosea..aisee representation inafanyika kwa ambao hawapo pale presentation inafanyika..mfano kuna debate mahali nyie mliokua selected mnaenda kurepresent i.e darasa lenu na pia shule yenu..so mnatepresent wanafunzi wenzenu sasa mkifika kule mnako fanya debate mnafanya presentation..ya vitu mlivyojiandaa navyo na at the very same time mnarepresent shule yenu..representation ni noun..hiyo nimetwist ili uweze kuelewa vizuri..so representation na presentation sio kitu kimoja..nafikiri hapo umeelewa ila watanzania wengi hawafahamu kiingereza vizuri na huwa wanachanganya sana..kati ya maneno hayo mawili..neno lingine ni disminder hili neno kwenye kiingereza halipo kabisa..over..!!
st.mary's jun seminary,visiga-2007 na st.james seminary-2010....lete ripoti ya ulichoona...mxiuuuuuu...Before you judge my life, my past or my character, walk in my shoes, walk the
path I have traveled, live my sorrows, my
doubts, my fear, my pain & my laughter... Remember everyone has a story, when u have lived
my life then u can judge me.....
Thanks for appreciating Mr[MENTION]Mtoto wa Kunyumba[/MENTION] i know your great at English too...na school ulizosoma ni freshy sana ingawa sijacheki kwenye necta ila visiga ni hatari...big up to u too...!!!THUMB UP mr.lyamber!! nice explanations...."be at what you are and be at its best"...Facts do not cease to exist because they are ignored
TOFAUTI IPO: seminarini wanamalezi ya aina tatu intellectual formation,pastoral formation and spiritual formation lakini hiyo shule uliyotaja inatoa intellectual formation tu kwa hiyo unaweza ona tofauti hiyo....pia jaribu kupitia na kuelewa nilichoandika,yule mdogo wangu aliniita mimi na wanadarasa ni "FOOLS" ndo mana nikamwambia kabla hajamtukana mtu ajaribu kufuatilia historia yake na maisha aliyopitia then ndo aweze kuongea...usibishe we ni spoon feeding coz ww unatofauti na aliyemalizaa mbuyun secondary kule chanikaa!! Ila pia na juhudi yako inahusikaa katika masomo ndo maana ukapata hicho ulichopataa! NB; hamna anayekufatilia katika maisha yakoo, ila we mwenyewe ume-comment kwamba tukaangalie matokeo yako 2007 visiga seminary, 2010 st james seminary!
mwalimu wangu wa falsafa aliwahi kuniambia kuwa" muda mwingine kumjibu mjinga inahitaji hekima ya hali ya juu mno"....sasa mimi sijafikia hiyo hekima...kila la heri mkuuHuna lolote,ona mpangilio ulivyo mbaya kwa kuchanganya changanya lugha