je ni kweli tcu wametoa post za ud n mzumbe?

Spoon feediNg tu!! no competent.

Ha ha ha ha...private and public sectors ndani ya Tanzania zinafahamu uzuri wa product zinazotoka seminary...ukweli utabaki kuwa ukweli hata kama hakuna anaeamini katika huo na uongo utabaki kuwa uongo hata kama kila mtu ataamini katika huo...ha ha ha eti no compentent te te te te nenda huko chuo utakutana na vijana wa seminari huko chuoni alafu utarudi kuleta ripoti.... HIVI UONI HATA JINSI UNAVYOPANGA HOJA ZAKO WEWE NA MIMI NI TOFAUTI KABISA...In the end, people should be judged by their actions, since in the end, it was
actions that defined everyone.
 

Huna lolote,ona mpangilio ulivyo mbaya kwa kuchanganya changanya lugha
 

THUMB UP mr.lyamber!! nice explanations...."be at what you are and be at its best"...Facts do not cease to exist because they are ignored
 

usibishe we ni spoon feeding coz ww unatofauti na aliyemalizaa mbuyun secondary kule chanikaa!! Ila pia na juhudi yako inahusikaa katika masomo ndo maana ukapata hicho ulichopataa! NB; hamna anayekufatilia katika maisha yakoo, ila we mwenyewe ume-comment kwamba tukaangalie matokeo yako 2007 visiga seminary, 2010 st james seminary!
 
THUMB UP mr.lyamber!! nice explanations...."be at what you are and be at its best"...Facts do not cease to exist because they are ignored
Thanks for appreciating Mr[MENTION]Mtoto wa Kunyumba[/MENTION] i know your great at English too...na school ulizosoma ni freshy sana ingawa sijacheki kwenye necta ila visiga ni hatari...big up to u too...!!!
 
TOFAUTI IPO: seminarini wanamalezi ya aina tatu intellectual formation,pastoral formation and spiritual formation lakini hiyo shule uliyotaja inatoa intellectual formation tu kwa hiyo unaweza ona tofauti hiyo....pia jaribu kupitia na kuelewa nilichoandika,yule mdogo wangu aliniita mimi na wanadarasa ni "FOOLS" ndo mana nikamwambia kabla hajamtukana mtu ajaribu kufuatilia historia yake na maisha aliyopitia then ndo aweze kuongea...
 
Huna lolote,ona mpangilio ulivyo mbaya kwa kuchanganya changanya lugha
mwalimu wangu wa falsafa aliwahi kuniambia kuwa" muda mwingine kumjibu mjinga inahitaji hekima ya hali ya juu mno"....sasa mimi sijafikia hiyo hekima...kila la heri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…