FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kumekuwa na hii tabia ya kuchukua mikopo kwa ajili ya shughuli mbali mbali zinazoitwa za kimaendeleo; ila kinachoshamgaza ni jinsi mikopo hiyo inavyogawanywa kwa usawa baina ya Watanzania wa Bara na Wazanzibari as kanakwamba idadi ya Zanzibar na Bara ni sawa.
Hivi uwe na maandazi 10, halafu watu 9 uwape maandazi ma 5 na mtu mmoja umpe maandazi ma 5, yaani nusu kwa nusu. Hapo kuna usawa katika ugawaji wa maandazi hayo?
Na linapokuja kwenye suala la kuyalipia hayo maandazi, wale tisa wanatoa 90% ya malipo na yule mmoja anatoa 10% ya malipo, je, mantiki ni ipi, kwahiyo watanzania tunakamuliwa tozo kulipa madeni na riba zisizotuhusu?