Nina uhakika 100% kuwa usahishaji wa tax management officer haukua fair.
Generally paper yenyewe ilikua na makosa ya uchapishaji mengi tu mfano time allowed iliandikwa 70mins (ninty minutes)
Title ya paper yenyewe pia ilikosewa kuandikwa Ila.
a) Overall assemment kwenye procedures and examination conducts ilikua hovyo there were 90% chances mtu kumfanyia mwenzie mtihani especially kwa experience nilipofanyia mtihani Udom Auditorium Cive vyeti vilihakikiwa venue nyingine pamoja na ID Kisha watu waanza kumarch mmoja mmoja kwenda venue nyingine nahuko watu waliingia na hawakukaguliwa chochote si Identity card Wala simu.
b) Watu wa sehemu mbalimbali walifanya mtihani mmoja kwa mida tofauti hivyo uwezekano mkubwa Sana mtihani ulivuja.
Kwa upande wa mtihani haukua ngumu multiple choice zilikua based on residential status charitable organisations na vitu vingine elementary ambavya vingi nilikua familiar.
Explanation based questions zilikua rahisi mno mtihani weakness ni mtihani haukua na sehemu za kutosha za majibu ambayo ni extremely bias kwasababu watu wanatofautiana miandiko pia ilikua based on listing rather than explaining concepts ambayo majority ya watu naamini wameweza kulist. Specifically kwa case yangu all questions were easy na computation ya National Income, condition za kutumika presumptive tax, input vat claimability, reason za jeopardy assessment, reason za appeals of which najua majority wamezipata na ilikua kuandika maneno machache tu. I don't get the point of seeing such scores in this exams. In my opinion, TRA Hawatakiwi kupewa mamlaka kamili kuajiri watoto wa masikini ndio wanaimia ambao hawana mtetezi.