Je, ni kweli TRA wameshaita watu kwenye ORAL INTERVIEW?

Je, ni kweli TRA wameshaita watu kwenye ORAL INTERVIEW?

Manzi yangu ana degree, aliomba kazi ya office assistant ambayo sifa ni uwe na form four na cheti cha veta cha miezi 3 office assistant.

Ajabu kaibuka na maksi za ajabu Duniani [emoji23]. Na aliniambia mtihani ulikua rahisi sana kwake.

Tra kiboko[emoji23].
Hahaha,Sasa mkuu hapo utamcheka au utampa pole?

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Manzi yangu ana degree, aliomba kazi ya office assistant ambayo sifa ni uwe na form four na cheti cha veta cha miezi 3 office assistant.

Ajabu kaibuka na maksi za ajabu Duniani 😂. Na aliniambia mtihani ulikua rahisi sana kwake.

Tra kiboko😂.
Mbona kila kona watu wanalalamika kumetokea nn tena?

Kuna dogo analalamika nae eti kapigwa na paper kajibu uhakika !!
 
Siamini km aya matokeo yana uhalisia,ule mtihan maswali 3 nayajua nje ndani achana na ile multiple choice yao sikosi ata majibu 2 ya kweli kati ya 8...Matokeo sasa yanakuja nina 33 [emoji3][emoji3][emoji3]
Mie nilidhani nitapiga 100 nimeambulia 79
 
Back
Top Bottom