Je, ni kweli TRA wameshaita watu kwenye ORAL INTERVIEW?

Yameshatoka na kuna watu wameshapokea wito wa kuitwa kazini.

Kuna dogo namfahamu kabahatika kupata kazi "KIBITI TAX REGION", atakunja 2.5M per month ya kuanzia.

Na inasemekana kuna baadhi ya agencies za serikali kama T.R.A na wengineo mamlaka ya kuajiri yamerudi mikononi mwao. USENGEUSENGE! unarudi tena kama zamani..., watoto wa masikini wataishia kuwa bodaboda na madalali kama zamani.

Wahusika walitazame hili, mambo yarudi kwenye sekretarieti ya ajira kama mwanzo.

R.I.P JPM 😔❤🙏🏾
 
mmh mkuu ya kwel haya ama ndo mambo ya vijiwen
 
mmh mkuu ya kwel haya ama ndo mambo ya vijiwen
Naomba tu nikwambie unayezungumza nae hapa sio mtu wa vijiwe... ID zetu zinaficha mengi.

T.R.A wanaajili wao wenyewe kwa sasa! Na sio T.R.A tu, taasisi kibao za serikali... Ajira portal wanabaki wanatangaza nafasi nyeti kama Ikulu na Wizara nyeti, au labda Bandari kidogo
 
Unataka kusema uhuni umerudi tena ? Maana sio kwa malalamiko haya.
 
Hawa wote wame igiliziana au pengne wana 24 woteee
 

Attachments

  • Screenshot_20231021_174608_Adobe Acrobat.jpg
    204.4 KB · Views: 24
Tokeaa mama kuruhus taasisi kupewa vibali vya kuajiri mm niliacha kuapply kazi serekalini
 
Kapata ngapi kafaulu au kushindwa mtiani
 
ndio wanaajiri wenye lakin hiyo kusema watu tayar wameajiriwa ndo imenishtua kidogo
 
Zama za bwana yule ilikuwa wanaitwa watu 7,000 kugombea nafasi 10. Hahaha RIP Mwamba.
 
USHENZIII MTUPU!...nilikaa na mdada alikuwa hajui kitu kenye written, alikopy kila kitu kwangu lakini kapata 58 mimi 31...siombi tena kazi serikalini
Yani ni zaidi ya ushenzi aseee! Ila mama kazengua sana kuwarudishia awa jamaa jukumu la kuajili,Ni mwendo wa vimemo tu sa hv!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…