Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
Siku ya Jana Tarehe 19 MACHI 2025 Kuna video toka Nasa inayoonyesha Wanaanga Waliokwama kwenye kituo cha Anga cha kimataifa cha ISS Wakirudi Duniani kwenye fukwe za bahari jiji la Florida.
Baadhi ya watu mbalimbali walikua wakitoa maoni yao kwenye Mitandao ya kijamii na kusema Nasa ni Waongo na Tukio ilo sio la kweli kabisa 😌.
Wengi wanasema wametengeneza kama Movie ya kuigiza vile 😏 na baadhi ya watu hawaamini kama Tukio lile ni la kweli.
Unasemaje kuhusu Tukio ili la Wanaanga kukaa miezi Tisa Angani na kuweza kurudishwa Duniani je ni kweli au Nasa Wametupiga ??
#nasa #astronauts #space #spacex #teknoloji #bongotech255 #habari