Je, ni kweli tunda la tikiti maji linaimarisha nguvu za kiume?

Je, ni kweli tunda la tikiti maji linaimarisha nguvu za kiume?

jema rashid

Member
Joined
Oct 4, 2014
Posts
80
Reaction score
15
Nimekuwa nikisikia uwezo wa tunda la tikiti maji katika kuhimalisha afya ya mwanadamu, lakini hivi majuzi jamaaa yangu kanieleza uwezo wake wa kuimarisha ndoa katika kutoa nguvu za kiume.

Mwenye habari yoyote kuhusu hilo kama ni kweli
 
Mkuu kula vitumbua ndio kila kitu yan vinaongeza nguvu za kiume kwa kasi sanq
 
Akyamama kunakoelekea matakataka yatapungua huku mitaani mana mwisho wa siku tutaambiwa maindi ukila na mabunzi yake nayo yanaongeza nguvu za kiume.

Tehtehteh daah... Mbavu zangu mie duuuh.. Kaaaaz kweli kweli.. Tehtehteh
 
Akyamama kunakoelekea matakataka yatapungua huku mitaani mana mwisho wa siku tutaambiwa maindi ukila na mabunzi yake nayo yanaongeza nguvu za kiume.

Dah, we jamaa sijui umekula maharage ya wap, maana hapa mbav zangu zinauma. We noma sana. Big up
 
Tikiti maji ni kweli, juice yake ukisaga pamoja na brasberry ni viagra tosha, hauna haja ya kula poisonous viagra
 
Akyamama kunakoelekea matakataka yatapungua huku mitaani mana mwisho wa siku tutaambiwa maindi ukila na mabunzi yake nayo yanaongeza nguvu za kiume.

hahahaaaaa mkuu mbavu zangu jamanii
 
Akyamama kunakoelekea matakataka yatapungua huku mitaani mana mwisho wa siku tutaambiwa maindi ukila na mabunzi yake nayo yanaongeza nguvu za kiume.

usemayo ni kweli hasa yale mahindi mateketeke, mana yana kini hai na ganda lake. Unapokula ugali uliokobolewa ndio unaharibu nguvu yako ya kiume. Kula ugali wa dona kula na mnafu na kuku wa kienyeji fanya ivi mara kwa mara, epuka kunywa soda mara tu baada ya mlo kunywa maji kama lita moja hivi = hapa Arusha Mianzini mataa pale mkabala na continer ya bonite pana ivyo viyu vyote (matunda+ugali wa dona+mahindi+mnafu+kuku kienye) = 6000/=
 
niliona article 1 kwenye mtandao kuwa ukishablend lile tikiti, unachemsha ukiwa umechanganya na limao sio ndimu, kisha weka kwa friji kila asubuhi piga kikombe ki1 tu hapo cha kikombe kama cha kahawa asubuhi na jioni, utaona habari yake, nilijaribu kama siku 3 zilitoka dk nzima kitu kinaachia tu, jaribu hiyo, ila saga na mbegu zake
 
Back
Top Bottom