Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaTikiti limejaa mimaji tu. Utaishia kukojoa mikojo kutwa nzima.
hhahahahahahahahahahahahahahahahahahahAkyamama kunakoelekea matakataka yatapungua huku mitaani mana mwisho wa siku tutaambiwa maindi ukila na mabunzi yake nayo yanaongeza nguvu za kiume.
Akyamama kunakoelekea matakataka yatapungua huku mitaani mana mwisho wa siku tutaambiwa maindi ukila na mabunzi yake nayo yanaongeza nguvu za kiume.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaan nimecheka kwa sauti mpk watu wananiona mwehu Lol!!!Akyamama kunakoelekea matakataka yatapungua huku mitaani mana mwisho wa siku tutaambiwa maindi ukila na mabunzi yake nayo yanaongeza nguvu za kiume.