Je, ni kweli tunda la tikiti maji linaimarisha nguvu za kiume?

Mbegu zake zina zinc nyingi, na zinc huzalisha tetastrones, ni kama vile pweza alivo na zinc nyingi, ni kweli.
 
Akyamama kunakoelekea matakataka yatapungua huku mitaani mana mwisho wa siku tutaambiwa maindi ukila na mabunzi yake nayo yanaongeza nguvu za kiume.
hhahahahahahahahahahahahahahahahahahah
 
Akyamama kunakoelekea matakataka yatapungua huku mitaani mana mwisho wa siku tutaambiwa maindi ukila na mabunzi yake nayo yanaongeza nguvu za kiume.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaan nimecheka kwa sauti mpk watu wananiona mwehu Lol!!!
 
Tikiti maji inaongeza nguvu. Papai na Mbegu zake pia Inasaidia kuongeza nguvu kitandani. Kama nguvu haitaki Tumia dawa Fulani Inaitwa VIAGRA kwa ushauri wa daktari wako.
 
m nasikia tangawizi inasaidia sana kwa wenye tatizo hilo
and kama unaona n kal unachanganya na asali then unapiga per day
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…