Je kama hana kipato kabisa,mfano umekutana naye hana kazi yupo kweny kutafuta,napo utahitaj huduma[emoji28]Kwani ni dhambi kula mbususu bila kutoa Huduma? Kazi anayo, pesa anayo ni lazima sana kumpa huduma,
Je ili huwe mwanaume wa kweli lazima utoe huduma ata kama umezidiwa kipato?
Cc Zero IQ
Kama ni mkeo mhudumie ila kama sio mkeo acha kuingilia majukumu ya watu wengine mkuu.
Wewe kazi yako ni kumoa kile hapati na hawezi kipata kwa wazazi/walezi wake, na hakuna kingine zaidi ya mjegeje. Hizo huduma anapewa tangu anazaliwa mpaka alipofikia hiyo inadhihiriaha wazi kua wazazi/walezi wake wanaiweza hiyo kazi.