Je ni kweli ukimwi unaweza kujificha.?

Je ni kweli ukimwi unaweza kujificha.?

msafwa93

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
4,786
Reaction score
5,963
habari wana jamvi.?
Jamani mwenzenu nina matatzo yafuatayo mwilini mwangu:-
1.majipu madogo mapajani..
2.mafua ya mara kwa mara..
3.homa za mara kwa mara..
4.maumivu ya koo mara mara..
5.maumiv ya kchwa mara kwa mara..
Hali hii ilianza kuntokea mwaka huu mwanzon,kuna mtu akanshaur nipime ukimwi,mwez wa tano mwaka huu nkapma,nkakuta sina,nkapma tena mwezi wa 6,7,8,9,10, na mara ya mwsho kupma ni leo,lakini sina ukimwi..
SASA KUNA WATU WANADAI KUA INAWEZEKANA NINA VIRUSI VIMEJIFICHA..
WENGINE WANADAI KUNA VIPIMO FEKI SIKU HIZI,HIVO HATA KAMA NIMEPIMA MARA SITA INAWEZEKANA NINAO..

Wataalamu wa haYA MAMBO NAOMBENI MNIJUZE KAMA KUNA UKWELI WOWOTE KUHUSIANA NA JAMBO HILO.?
NA KAMA KWEL UNAJIFICHA NI KWA MDA GANI..

*****@habari ya mjini*****
 
Tatizo ni kwamba vipimo vinasema huna ukimwi na wewe unaamini unao. Hivyo kama unajijua vizuri hasa kwa kuangalia uliowahi kuwa nao huna haja ya kushangaa. Ila kwa ufupi ni kwamba siyo kila ugonjwa wenye dalili kama ulizotaja ni ukimwi. Tuliza akili uondoe imani kuwa umeukwaa utapona vinginevyo utajimaliza kwa ukimwi wa kutengeneza kichwani mwako. Nadhani huu ni msaada mkubwa tu mwanangu.
 
Thnx alot..
 
Not a problem mwanangu habari ya mjini. Ila kama ulikuwa unafanya kale ka mchezo ka kuwashobokea vyangu achana nako utakufa bure wakati si wako.
 
UKIMWI si lazima uwe na HIV, UKIMWI au Upungufu wa Kinga Mwilini unaweza kusababishwa na mengi, mfano, kisukari, cancer hususan ya damu. Lishe ndogo, kifua kikuu na kadhalika nakushauri, pata dozi hapa: HOME
 
Mbna hamna kitu nkfungua hapo.?
 
Pole sana kwa matatizo yaliyokupata usiwe na mtazamo tofauti na majibu ya dakitali najua umeshapima mara kwa mara umekuta una , kama alivyoleza mshauri aliyetangulia dalili zako ulizonazo sio tu zinaashiria ukimwi ila inaweza kuwa tatizo lingine jaribu kupima vipimo vingine ikiwezekana vya magonjwa ya ngozi na pia je unapata usingizi wa kutoshwa usiku? au unawaza sana ?nijibu maswali nipate mwanga wa kuweza kupata ufumbuzi wa tatizo lako na pia unakula sana vyakula vya protein(nyama ) au hivi?
 
Kwa kawaida nalalaga saa7/saa8/saa9 usiku naamka saa2 asubuhii..
Kila siku nakula wali,nabadilishaga mboga tu,ambazo ni MCHICHA,MAHARAGE na SAMAKI TU..
 
Kupima ndo mpango mzima maana unaweza ukoorodhesha dalili mpaka ukachoka, nachojua kwa uelewa wangu mdogo dalili za ukimwi sio common zinatofautiana kutokana na imune za mtu so kuna wengine wanaweza wakawa na dalili hizo wengine wasiwenazo
 
...nenda hospitali ukafanye uchunguzi wa kina....kama ushapima ukimwi mara zote hizohuna inawezekana una tatizo jingine....

Wakati huo huo cheki diet yako hakikisha unakula balanced diet, matunda na maji kwa wingi....

Angalia na usafi wa mazingira unayoishi pia masaffi?
Kama ukomacho hadi saa 8-9 usiku unakuwa wapi? Bar? Mazingira ya koje? Maana kuna dalili kubwa unakuwa nichakula cha mbu, epuka kuumwa na ma-mbu...

Mazingira yako ya kazi na nyumbani pasafi? Hapana vumbi? Huna allergy na vumbi?

Huna tatizo la macho? Unaona bila shida? Maana machopia huleta kichwa kuuma
 
Asante mkuu ntafata ushaur wako..
 
Back
Top Bottom