Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
...nenda hospitali ukafanye uchunguzi wa kina....kama ushapima ukimwi mara zote hizohuna inawezekana una tatizo jingine....
Wakati huo huo cheki diet yako hakikisha unakula balanced diet, matunda na maji kwa wingi....
Angalia na usafi wa mazingira unayoishi pia masaffi?
Kama ukomacho hadi saa 8-9 usiku unakuwa wapi? Bar? Mazingira ya koje? Maana kuna dalili kubwa unakuwa nichakula cha mbu, epuka kuumwa na ma-mbu...
Mazingira yako ya kazi na nyumbani pasafi? Hapana vumbi? Huna allergy na vumbi?
Huna tatizo la macho? Unaona bila shida? Maana machopia huleta kichwa kuuma
Ndio maana nilikuoa mke wa ujana wangu. Am proud of you.
Hapo unaangalia movie gani? Mmeo nshafika kibaruani nalitumikia taifa.