Je ni kweli ukimwi unaweza kujificha.?


Ndio maana nilikuoa mke wa ujana wangu. Am proud of you.

Hapo unaangalia movie gani? Mmeo nshafika kibaruani nalitumikia taifa.
 
chunguza kama kuna hawaraako aliewahi kufa kwajili ya hilogonjwa pengine unaokweli ila umejificha
 
Check maradhi mengine (hepatatis B na C), kisukari, cancer vyote hivyo hushusha kinga na unakuwa prone kwa magonjwa.

Pole sana.
Muhimu angalia chakula, hasa vitamini na protein.t
 
UKIMWI si lazima uwe na HIV, UKIMWI au Upungufu wa Kinga Mwilini unaweza kusababishwa na mengi, mfano, kisukari, cancer hususan ya damu. Lishe ndogo, kifua kikuu na kadhalika nakushauri, pata dozi hapa:
HOME

Azimio jipya thanks zomba very much for such a useful post!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…