Je, ni kweli ukiwa single unapata kichaa ama afya ya Akili?

Je, ni kweli ukiwa single unapata kichaa ama afya ya Akili?

Dalton elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
373
Reaction score
829
Kumekuwa na uVumi kwamba kuwa single kunasababisha kichaa na Afya ya Akili. Je, kuna ukweli wowote ule kuhusiana na kauli hili?

Screenshot_20250122-070702.png
 
Kumekuwa Na UVumi Kwamba Kuwa Single Kunasababisha Kichaa Na Afya Ya Akili .
Je Kuna Ukweli Wowote Ule Kuhusiana Na Kauli Hii.
Moderators wa JF mnapaswa kuzifuta mada zingine za hovyo kama hizi. Ni upuuzi tupu.

Kama kuwa single kunasababisha kichaa na afya ya akili basi Maaskofu, Mapandre au Masista wote kabisa wa Kanisa Katoliki wangekuwa wanaongoza kuugua kichaa hapa duniani.
Huu ni uwango mkubwa sana
 
Love done messed up your head,got you acting straight crazy haki ya Mungu.You better hit her with that apology track before haujakuwa mwezi nchanga.
Hahaha i love this, nah brother you're wrong. She was the one who was pissed and felt terrible after I was gone.

haki ya Mungu hata simkumbuki, you want to record an apology track. Aisee hayo SI matusi😂🤣.
Zulu man
 
Back
Top Bottom