Je, ni kweli ukiwa single unapata kichaa ama afya ya Akili?

Je, ni kweli ukiwa single unapata kichaa ama afya ya Akili?

Binti Lolalola akisoma haya maneno atalia sana.
Wacha ujinga bhana, Wacha atulie huko korokoroni.

what happened happened, ali chagua maamuzi yake, nami nika fata yangu.!!.
But I respect her, na ule tulio fanya ni utoto na makuzi ya ujana tu
 
Huo ni uongo, though kuna muda unajihisi mpweke sana lkn haina maana kuwa unakuwa na shida ya akili.
 
Moderators wa JF mnapaswa kuzifuta mada zingine za hovyo kama hizi. Ni upuuzi tupu.

Kama kuwa single kunasababisha kichaa na afya ya akili basi Maaskofu, Mapandre au Masista wote kabisa wa Kanisa Katoliki wangekuwa wanaongoza kuugua kichaa hapa duniani.
Huu ni uwango mkubwa sana
Wale wanalawaiti mf PADRE KIMARO
 
Back
Top Bottom