Mwili wa binadamu sio km mashine unaweka materials inaprocess na kutoa product. Processes za mwili unavyofanya kazi kuna variations nyingi sana zinatokea na zinasababishwa na input mbalimbali, sahihi na zisizo sahihi so hamna majibu ya moja kwa moja kama kufanya hesabu za mara. Hisia, lishe, hormones, experience, elimu - general na sexual, background, malezi na mafunzo, imani, nk vyote hivi vinachangia outcome ya kila biological process ndani ya mwili including sex. So wanajifurahisha tu hawa watu na wanaprove kiwango chao cha ufahamu kikoje.