Je, ni kweli unaweza kufanya mapenzi na muathirika wa UKIMWI na usiambukizwe?

Subutuuuu
 
Rafiki yako huyo...alafu anakwambia kwamba yeye mara moja moja hia anapata kaswende na visonono...freshi yani...dah
 
Acha kupotosha wewe huyo rafiki yake kuna kitu kimoja kinaitwa CD4 RECEPTOR ASA AMBAYO INA KAZI YA KUPOKEA MAAMBUKIZI YA UKIMWI ASA KUNA WATU WENGINE HAWANA CD4 RECEPTOR NDO CHANZO KINACHOSABABISHA ATA UKIFANYA NGONO NA MTU MWENYE VVU HUWEZI PATA MAAMBUKIZI iyo ndo sababu bila hivyo angekuwa tiali mgonjwa na sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…