Je, ni kweli unaweza kufanya mapenzi na muathirika wa UKIMWI na usiambukizwe?

Je, ni kweli unaweza kufanya mapenzi na muathirika wa UKIMWI na usiambukizwe?

Mimi siamini ulichokiandika kuhusu Huyu Rafiki Yako (Au wewe mwenyewe) Labda Nimshuhudie mimi mwenyewe Kwa Utafiti Wangu!!

Kama Vipi Anitafute inbox nimlete Kitaa Yupo Mdada Muathirika Ni Kahaba Nitamlipia Mimi Buku 5 amgonge Halafu After 3 months Anipe Mrejesho
Subutuuuu
 
Rafiki yako huyo...alafu anakwambia kwamba yeye mara moja moja hia anapata kaswende na visonono...freshi yani...dah
 
Mtu wa maana wa kumuuliza hapo ni huyo rafiki yako na si madaktari....muulize huyo rafiki yako kwanini anajiamini hivyo...inawezekana huyo rafiki yako ameshajua ukweli wa jambo hili kwamba HIV/AIDS ni feki....sasa muulize anaweza akakupa elimu usiyoitegemea.

Kama ulikuwa hujui basi jua kuanzia leo kwamba HIV/AIDS ni uongo uliopindukia...hakuna HIV,watu hufa kwa magonjwa yaliyokuwepo tangu zamani kabla ya huyo HIV feki kupata kiki....na wale wanaoutumia ARVs ndio hufa vifo vibaya zaidi mwishoni....fanya udadisi wako utajua tu...

Halafu pia nini rafiki yako....kuna watu wako kwenye ndoa kabisa...yaani mmoja amepimwa HIV+ lakini mwingine ni HIV-...wako kwenye ndoa kwa miaka mingi wamezaa watoto na watoto ni HIV-.Ukitaka kujua ukweli usisubiri kuletewa mezani,tafuta mwenyewe ndio inakuwa raha zaidi...yaani ukijua ukweli huu ni raha sana.....mwache huyo rafiki yako afurahie maisha yake...wewe endelea kuogopa kivuli chako mpaka pale utakapotambua ukweli huu.

Hili jambo limejificha sana,hivyo unahitaji juhudi kubwa kutambua ukweli wake.
Acha kupotosha wewe huyo rafiki yake kuna kitu kimoja kinaitwa CD4 RECEPTOR ASA AMBAYO INA KAZI YA KUPOKEA MAAMBUKIZI YA UKIMWI ASA KUNA WATU WENGINE HAWANA CD4 RECEPTOR NDO CHANZO KINACHOSABABISHA ATA UKIFANYA NGONO NA MTU MWENYE VVU HUWEZI PATA MAAMBUKIZI iyo ndo sababu bila hivyo angekuwa tiali mgonjwa na sio
 
Back
Top Bottom