Je, ni kweli unaweza kupata internet bure kwa kutumia VPN Proxy?

Je, ni kweli unaweza kupata internet bure kwa kutumia VPN Proxy?

Kuna vitu ukivijua utajilaumu ulichelewa wapi kuvijua..watu wanakula mema ya nchi kimyakimya sema nn..unoko ndio unafanya watu wavunge wale maisha wenyewe.
Na bado watu tuna enjoy kimya kimya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Inawezekana kuna dogo aliniungia kwenye simu yangu sema ipo slow nikaiondoa. Ila ni usumbufu tupu. Madogo wa ahule ndo wanaweza maana kila siku lazima uunge and hautakiwi kutumia zikaisha na ni mb300 tu
🤣🤣🤣Hukujua zaid ndo maana uliishia mb300
 
Umbea ndo ulituponza ndo maana mtu akifanikiwa kupata mserereko anakula kimya kimya tu
Mi niko zangu na Ttcl hapa per day natumia hata gb 10 dadekii...

Unaweza sema moyon acha mule wote mema ya nchi lakn kumbe akina Joel mushi wako tuh wana wachora waka report asee Kuna mda roho mbaya inasaidia mzeee[emoji38][emoji38]
 
Vpn Gani mkuu?
 
Unatumia Napsternetv vpn??
 
WEKA WI-FI ZA T¡G0 ZINA SPEED KUBWAA MNOO!
HUU SIO MDA TENA WA KUWAZA KUISHIWA NA DATA, ROUTER NI BEI NAFUU SANA!

⚫KWENYE BISASHARA YAKO WEKA WI-FI

⚫KWENYE SHULE WEKA WI-FI
⚫KANISANI WEKA WI-FI

⚫KAZINI WEKA WI-FI
⚫KWENYE KAMPUNI WEKA WI-FI

⚫NYUMBANI KWAKO WEWE NA FAMILIA YAKO WEKA WI-FI
⚫CHUONI WEKA WI-FI

⚫UNA SECURITY CAMERA FUNGA WI-FI

⚫SEHEM ZINGINE AMBAZO SIJAZITAJA WEKA WI-FI

TUMIA DATA UNLIMITED, YANI BILA KUWAZA KUA GB ZITAISHA?

NJOO NIKUPE ROUTER ZENYE UWEZO MKUBWA TECNOLOJIA YA 5G SPEED HADI 200mbps, NA UNAWEZA KULIPA KIDOGO KIDOGO !

MKOA WOWOTE ULIPO DELIVERY NI FREEE!!

GHARAMA NI NAFUU, SPEED KUBWAA (pia laini pekeyake bila router nakuwezeshea bando unlimited kwa bei poa)
NICHEKI: 0717700921
 
Back
Top Bottom