Je, ni kweli uwezo wa kutumia intaneti unaweza kufundishwa?

Je, ni kweli uwezo wa kutumia intaneti unaweza kufundishwa?

jikuTech

Senior Member
Joined
Apr 9, 2023
Posts
108
Reaction score
159
Kuna kitu kidogo kina tengeneza ugumu kwa wanao thubutu kujaribu fursa mbalimbali katika dijitali .

Kitu kikubwa kinacho changia kukatisha tamaa ni kukosa ujuzi wa matumizi ya intaneti

Ujuzi wa kutumia intaneti
Linapokuja suala la mtu kujifunza jinsi ya kutumia intaneti, ni muhimu kuanza na mambo ya msingi, kama vile kuelewa jinsi ya kutumia kivinjari(browser), kufanya utafutaji, na kutathmini uaminifu wa vyanzo vya mtandaoni. Ujuzi huu wa kimsingi unaweza kujengwa kwa mada za juu zaidi kama vile matumizi ya mitandao ya kijamii, mbinu za usalama mtandaoni na adabu za kutumia mawasiliano ya kidijitali

Unapokuwa unafanya navigation kwenye internet kuna tu masuala tudogo dogo tuna rudisha watu nyuma bila kujifunza tunaweza kukupelekea ukaona jambo dogo ni gumu sana.

Kuna muda suala la mtu kutatua mwenyewe anapeleka kwa mtu anatoa pesa .

Kuepuka gharama zisizo za lazima na mambo mengine yanayo husiana na hii ni kujifunza matumizi ya internet .

Subscribe kuwa wa kwanza kupata mafunzo mbalimbali kutoka Jiku Tech Tips Channel


View: https://youtu.be/_lNsFftrotY?si=9q8XGcBwBFiI-fQg
 
Hakuna ugumu bali kupa dhanabza matumizi kutumia muda mwingi na kupata urahisi wa kuzowea kama matumizi ya simu
 
Back
Top Bottom