Riskytaker
JF-Expert Member
- Mar 14, 2024
- 568
- 2,522
Yani mkipata pesa kidogo tu mnaanza kugoogle madhara ya ugali.je ni kweli viporo vinadumaza mwili na akili
hapana nmeona mtoto wa diamond kapstiwa kimwili ni mkubwa ila umri mdogo comment nyingi zinasema watoto wa mastaa hawali viporo ndo maana wanakua faster fasterYani mkipata pesa kidogo tu mnaanza kugoogle madhara ya ugali.
Yani mkipata pesa kidogo tu mnaanza kugoogle madhara ya ugali.
πππππYani mkipata pesa kidogo tu mnaanza kugoogle madhara ya ugali.
Hao waliocomment wote hawana akili.hapana nmeona mtoto wa diamond kapstiwa kimwili ni mkubwa ila umri mdogo comment nyingi zinasema watoto wa mastaa hawali viporo ndo maana wanakua faster faster
Mbona sisi hatujadumaa
una futi ngap au ndo wale fut 4Mbona sisi hatujadumaa
Huu ni uzushi mtupu kabisa. Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wametoa hizo Takwimu (graph) ππlakini haijatoa visababishi (causes)vya kuwepo kwa hali hiyo ya Udumavu kwamba ni kutokana na ulaji wa kiporo.