je ni kweli vyuo vyetu vikuu (tanzania) ni ngumu kupata "a'' ukilinganisha na nchi zilizoendelea ?


mkuu kuna mambo yapo bongo hayafanyiki sehemu yoyote duniani. Ukienda muhas kwenye clinical rotations wasichana tu ndo wanafaulu vizuri na ukifuatilia backgraund yao ndo walikuwa wanachezea sup za basic mwanzo mwisho. Wengi wao wanalia kwenye mitihani ya clinical na wanafaulishwa. Mwanaume ilikuwa hata ujitetee vipi kama nyote imeangukia kwenye kuliwa kichwa utaliwa tu.! Ukienda vyuo vingi vya serikali lecturers wanadhani kuwapa c watu ndo kuonekana anafanya kazi kumbe ni upuuzi tu. Najua mpo humu na mtakuja kujitetea na hoja zisizoendana na yale mnayoyafanya. Niliteseka sana nilipokuwa muhas hasa paediatrics.
 

Ni "A" siyo "a", au ndiyo alama za SAUT hizo?
 
Hakuna ukweli wowote. Wanafunzi wengi ni vilaza. wameendekeza starehe. ndio maana wanaishia kuzoa hayo makarai.
 
Wanafunzi someni, na kuweni wabunifu katika kujibu maswali; mwanfunzi anavuna kile alichopanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…