Kwani Tuli alivyoingia alikuwa mfanya biasharaSi mnachagua wafanyabiashara
Akija atasema mradi umekamilika kwa 95%Siku hizi simsikii yule CEO wa Tanzania Railways Corp nahisi wabunge watakua wamemfumba mdomo
Mwanzo ndo enzi za Magu alisema wapo asilimia 85 alivyoingia maza akasema wapo asilimia 55Akija atasema mradi umekamilika kwa 95%
Taarifa za rafiki yangu ambaye ni mfanyabiashara ni kwamba wabunge wengi ikiwa pamoja na waziri wa Fedha schoolmate wangu Mwigulu ni wawekezaji wakubwa kwenye magari. Tatizo wanaogopa safari za treni zikianza biashara zao zitapata wakati mgumu. Hivyo wanahujumu kucheleweshwa kwa mradi kwa sababu binafsi. Vilevile spika naye ana mabasi sio kosa lakini ni lazima tujue ukwei. Nasikia wanapiga mpaka simu mabehewa yacheleweshwe kutoka Korea ili tu wapate muda zaidi. Sasa wana mkakati wa kuzuia magari ya zamani yasiwnde Dodoma.
Esta coach
Shabiby Line.......!!Abood bus
Taarifa za rafiki yangu ambaye ni mfanyabiashara ni kwamba wabunge wengi ikiwa pamoja na waziri wa Fedha schoolmate wangu Mwigulu ni wawekezaji wakubwa kwenye magari. Tatizo wanaogopa safari za treni zikianza biashara zao zitapata wakati mgumu.
Hivyo wanahujumu kucheleweshwa kwa mradi kwa sababu binafsi. Vilevile spika naye ana mabasi sio kosa lakini ni lazima tujue ukwei.
Nasikia wanapiga mpaka simu mabehewa yacheleweshwe kutoka Korea ili tu wapate muda zaidi. Sasa wana mkakati wa kuzuia magari ya zamani yasiwnde Dodoma.