Je ni kweli wadada hupendelea maumbile makubwa ya uume zaidi na huridhika zaidi kimahaba kwa umbile lililo kubwa au refu?

Je ni kweli wadada hupendelea maumbile makubwa ya uume zaidi na huridhika zaidi kimahaba kwa umbile lililo kubwa au refu?

Design Your Idea

Senior Member
Joined
Jun 3, 2024
Posts
154
Reaction score
480
Karibuni wakuu

Je ni kweli wadada hupendelea maumbile makubwa ya uume zaidi na huridhika zaidi kimahaba kwa umbile lililo kubwa au refu?
 
Hilo inapaswa wadada wenyewe wajibu

Ila,

Uume mrefu unafaa zaidi mdada mwenye makebo makubwa, maana kuna namna zile minyama zinafanya cover ya penetration area inakuwa mbali ila pia uume mkubwa huwa una advantage nzuri ya motion na positioning.
 
Wengi wanaoulizaga maswali ya namna hii wanakuwa ni vibamia...

Vijana tafuteni wanawake wenye K za saizi yenu.
 
Nahisi vyuo vitakuwa vimefungwa kwa mwendo huu...
 
😂😂sema mapenzi yamejawa na uongouongo sana sema kikubwa hisia maana unaeza kuwa na mtambo mkubwa mnene na demu ukafall in love kwa jamaa mwenye kibamia..
Plus ingekua mapenzi ni kuchimba huko ndani wasigeenda kusagana
 
Hao wadada wamejuaje kuwa kuna uume mkubwa na mrefu kiasi cha kuupenda ili waridhike kama si Umalaya tuu na kutokuwaheshimu waliowatoa bikra?
 
Karibuni wakuu

Je ni kweli wadada hupendelea maumbile makubwa ya uume zaidi na huridhika zaidi kimahaba kwa umbile lililo kubwa au refu?
Mambo ya wadada yanakuhusu nini kama wewe siyo mdada? Halafu huo ukweli ukiupata utakusaidia nini? Kama una maumbile madogo si useme mjomba ili ujengwe kisaikolojia na pia upewe mbinu mbadala (kama zipo) za kumridhisha mwenza wako!

Nje na mtazamo huu, mjomba utafikiriwa vibaya.
 
Back
Top Bottom