Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Wewe hujatembea ndio maana unasema majengo ya zamani yanapendeza kuliko ya Sasa hivi mpo serious kweli halafu kwanini mnaushamba wa kusifia vitu vya zamani hata kama havina hiyo sifaKama nimemuelewa mleta mada anachozungumzia yeye ni ile "workmanship" kwa maana ya nakshi nakshi za kupendezesha hayo majengo, na sio ukubwa/urefu wa jengo