Je, ni kweli Wanaume huheshimu sana wanawake Wanaotumia akili zao kujitafutia kuliko wanaotumia sehemu za miili yao?

Je, ni kweli Wanaume huheshimu sana wanawake Wanaotumia akili zao kujitafutia kuliko wanaotumia sehemu za miili yao?

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Posts
70,785
Reaction score
186,690
IMG_20200629_075534.jpg

IMG_20200629_075618.jpg
 
Binafsi nawaheshimu sana wanawake wa namna hiyo na ni miongoni mwa wanaopitia changamoto sana katika safari ya kujitaftia maisha, nawapongeza wenye misimamo yao ya kweli maana wengine wanaanza vizuri ila akifika mahali kuna changamoto kidogo anabadili uelekeo.
 
Back
Top Bottom