Je, ni kweli wanaume wanakumbana na rushwa ya ngono?

Je, ni kweli wanaume wanakumbana na rushwa ya ngono?

mwakani naolewa

Senior Member
Joined
Jul 25, 2024
Posts
148
Reaction score
426
Hivi ni kweli kwamba baadhi ya wanaume nao wanapitia bc hangamoto ya rushwa ya ngono pale wanapotafuta kazi maofisini au katika fursa mbalimbali? ni kweli kwamba wakiombwa rushwa ya ngono wanafrai sana? au rushwa ya ngono ni changamoto kwa wanaume kazini? Wanaume tuambieni.

 
Labda kwa mshangazi anaye mtaka kijana, nimegundua most of mishangazi haina pesa ivo inapitia hii changamoto ya upwiru kwa vijana, wenye pesa wanatoka na vijana kirahisi samahanini mama zangu to call you shangazi 😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom