Je, ni kweli wanawake hawana tamaa kama wanaume?

Kuna wanawake wengi tu ni kata mti panda mti au wanapata yale mahusiano ya mlipuko. Ila wengi huwa wanajificha ili kutokutooonekana malaya Ila kwa wanaume, ni wachache wanajificha maana kuwa na majike mengi mazuri mazuri huwa ni sifa..

Kwa hiyo inategemeana
Maelezo yake yanahusu wanawake wa kawaida wasiofanya biashara(malaya)
 
Salaam,

Kuna binti aliwahi nambia, wanawake hawana tamaa kama wanaume coz wao ni selective sana linapokuja suala la mahusiano.

Alinambia, mwanamke kwa mwaka anaweza pokea order 100 hadi 1000 za mitongozo bt kua wao ni selective ktk order hizo akabahatika 1/2/3/hapana kabisa.

Akanambia kwa jinsi wanaume tulivyo na tamaa ya kuonja karibu kila sketi inayokatiza mbele yetu, tungepata order hizo anaamini kizazi cha kiume kingeshatoweka.

Je ni kweli wanawake hawana tamaa kama wanaume?
Wenye kutakiwa kujibu hii hoja ni wanawake lakini wanaume naona ndiyo wanatiriika zaidi.
Hii ni aibu sana.
Niwaulize enyi wanaume je nanyi mnazo hisia za kike?
 
Kuna ke hapo juu katoa code.
 
Salaam,

Kuna binti aliwahi nambia, wanawake hawana tamaa kama wanaume coz wao ni selective sana linapokuja suala la mahusiano.

Alinambia, mwanamke kwa mwaka anaweza pokea order 100 hadi 1000 za mitongozo bt kua wao ni selective ktk order hizo akabahatika 1/2/3/hapana kabisa.

Akanambia kwa jinsi wanaume tulivyo na tamaa ya kuonja karibu kila sketi inayokatiza mbele yetu, tungepata order hizo anaamini kizazi cha kiume kingeshatoweka.

Je ni kweli wanawake hawana tamaa kama wanaume?
Ndioo mie sina shida kubwa ya wanawake ni matunzo sio pesa .

Kama anapata kila kitu anatulia kweli
 
Back
Top Bottom