Je, ni kweli wanawake hawana tamaa kama wanaume?

Je, ni kweli wanawake hawana tamaa kama wanaume?

Salaam,

Kuna binti aliwahi nambia, wanawake hawana tamaa kama wanaume coz wao ni selective sana linapokuja suala la mahusiano.

Alinambia, mwanamke kwa mwaka anaweza pokea order 100 hadi 1000 za mitongozo bt kua wao ni selective ktk order hizo akabahatika 1/2/3/hapana kabisa.

Akanambia kwa jinsi wanaume tulivyo na tamaa ya kuonja karibu kila sketi inayokatiza mbele yetu, tungepata order hizo anaamini kizazi cha kiume kingeshatoweka.

Je ni kweli wanawake hawana tamaa kama wanaume?
Kwa hiyo idadi inategemea huyo binti yukoje. Na hiyo kutokukubali maombi yote, nayo inategemea na tabia ya mtu, siyo jinsia.

Ova
 
Tunazo ila tunavunga

Unakuta unatamani umkule mkaka mmoja ila limitation[emoji3064]

Kama huyu boss mtoto wa job.. nimemtamani tu ila naogopa ukimwi[emoji38]
 
Tunazo ila tunavunga

Unakuta unatamani umkule mkaka mmoja ila limitation[emoji3064]

Kama huyu boss mtoto wa job.. nimemtamani tu ila naogopa ukimwi[emoji38]
Sina ukimwi mama, njoo tu unikule! Mimi nishakuwa mateka wako hun...
 
Back
Top Bottom