Wakati nipo Instagram niliona post ya application moja inayoitwa KwikPay. Kwa mimi ambaye napenda sana kutumia app nikasema ngoja ni icheki mara moja na kujua uzuri wa app hii.
Hii ni app iliyotengenezwa na DataVision hii ni kampuni yenye uzoefu wa miaka 22 kwenye maswala ya IT na Malipo. Lakini kilicho nishangaza zaidi kwenye hii app ni hiki.
WameCOPY kila kitu kutoka kwenye app inayoitwa NALA.
Nikashindwa kujua hii kampuni yenye uzoefu wa miaka 22 ya ubunifu, imashindwa kabisa kubuni na kuja na kitu kipya hadi ikaamua kucopy kutoka NALA. Licha ya kuwa hii kampuni ipo chini ya uongozi wa Dokta na Profesa wenye ubobezi wa maswala ya ICT.
Yaani jamaa hawakutaka kabisa kufikiri wala kuumiza kichwa, wao wakaamua kucopy na kupaste. Check hapa baadhi ya vitu ambavyo wamecopy.
HOME SCREEN. Ukiangalia Home screen ya KwiKpay ndio ile ile ya NALA, kuanzia mpangilio wa kwenye logo ya NALA wao wakaweka logo yao. Kwenye #NALAFASTA wao waka andika DASHBOARD. Kwenye main action button (SEND MONEY, PAY BILL, WITHDRAWAL) wao wamecopy na kupaste. Upande na sehemu ile ile yenye HISTORY nao wakaweka historia, hadi kwenye sehemu ya akaunti zako.
SEND MONEY. Hawajaishia hapo, hata kwenye kutuma pesa utaona wamekopy kila kitu kuanzia mpagilio wa section hadi buttons. Duu hii ni noma sana 😂😂
WITHDRAW CASH. Nikasema ngoja nijaribu kutoa pesa kwa WAKALA. Huku nako ndio hivyo hivyo copy na kupaste kila kitu.
TRANSACTION HISTORY. Ukifungua transaction history ya KwiKpay ndio kama ile ya NALA.
Hii ni aibu sana kwa kampuni kubwa kama DataVision kutokuwa wabunifu na kulete kitu kipya kwenye soko na kuamua ku copy kutoka kwenye startup ndogo kama NALA. Maana watengenezaji wengi wa hizi app mimi naona wanaenda na trend tu huku waki copy na kupaste.
Tulivyoona kuna Netflix tukaja na Swahiliflix. Tumeona Uber/Bolt tukajana Little ride na Ping. Na Hii sio tu kwenye App hapa baadhi ya website nyingi Bongo zipo hivi. Unakuta content ya website hii ndio ile ile ya kwenye website nyingine. Au ndio yale yale ya Uber na Bolt tu.
Bado najiuliza, kufanya hivi ndio uwezo wetu Wabongo unapoishia na uvivu wa kubuni vitu vipya vyenye tija kwa jamii au ku copy na ku paste ndio ubunifu wenyewe?