jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,645
Habari wana JF,
Kama swali linavouliza?
Ni kweli raia wa hizi nchi Saba Tanzania, Kenya, Uganda, Sudan Kusini, Rwanda na Burundi wanatamani EAC (UMOJA WA AFRIKA MASHARIKI) kuwa nchi moja ya Muungano wa Afrika Mashariki (EAC FEDERATION)?
Kulikua na mkakati wakuunganisha na kufanya tutumie pesa moja, yaani East Africa shiling na lugha moja, Kiswahili.
Lakini hadi sasa vitu haviendi kama kati ya nchi hizi mfano Rwanda na Uganda, Rwanda na Burundi au Tanzania na Kenya kuna kua na mikwaruzano ya chini chini kisiasa na kiuchumi!
Je, ndoto ya kufikia nchi moja, pesa moja na lugha moja inawezekana? Je, na wananchi Wana matamanio hayo?
Nawasilisha
By:
Jiwekuu