Kitwanga haonekani tungemuuliza tena yeye ana kichogo, lakini mbona yule mchapabakora wa mjengoni matamshi yake yanaonekana kama amelewa na hana kichogoHabari zenu naJF!
Niende kwenye mada.
Leo asubuhi wakati nipo kwenye mihangaiko yangu ya kimaisha kuna jamaa mmoja nimemsikia anaongea jambo. Nikasema nitakuja kuuliza jamvini maana humu wajuvi wa mambo ni wengi.
Ishu yenyewe ni hii: "ETI KUNA UKWELI WOWOTE KUWA WATU WENYE VISOGO HAWALEWI HARAKA?"
Karibuni.
Habari zenu naJF!

Wanalala kwao Dodoma na ukianda hovyo unapigwa risasiWanalala wapi niwafuate hukohuko?