Je, ni kweli watu wenye visogo hawalewi pombe haraka?

sio kweli....nawajua kadhaa wanavyo na wanazima mapema tu...na kuna baadhi vichwa box hawalewi haraka ata uwape kreti.....
 
Kitwanga haonekani tungemuuliza tena yeye ana kichogo, lakini mbona yule mchapabakora wa mjengoni matamshi yake yanaonekana kama amelewa na hana kichogo
Tumuulize mkulu naye si anakichogo na pia yupo humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…