Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ulijitambua ulipozimaMimi ninacho na huwa anazima hata Jana nilipiga balimi nikazima.
HahaaaaaaaaaaaaaKwa maana hiyo ndugu zetu wa upande ule wakipata glasi moja tu unabeba? Maana vichwa vyao nyuma vipo flat kama mbao
kabisa mkuu!Kwahiyo kulewa na kutokukewa mapema ni uwezo wa mtu binafsi
Upande huo hata sina uelewa nao mkuu.Karibu utupe uelewa wako
Kweli kabisa mkuuNgoja tuwaachie wazoefu
Tumuulize mkulu naye si anakichogo na pia yupo humuKitwanga haonekani tungemuuliza tena yeye ana kichogo, lakini mbona yule mchapabakora wa mjengoni matamshi yake yanaonekana kama amelewa na hana kichogo