Je ni kweli wazazi wetu walianza NGONO baada ya ndoa?


haahahha duh!
huko chumbani kwangu nimeshapigwa ban na invisible, hapafunguki kabisaaaaa

kama inakukosesha amani we hata usiiangalie.
 
Bujibuji mwe!

Kwa vile sikuwepo.... sijui, ngoja nikawaulize.
 
Nimekusoma partner...kweli tatizo ni kwamba tu siku hizi tumehalalisha....hamna tena aibu na usiri ndo maana hata siku ya ndoa mama anakua mja mwepesi tayari....zaidi ya hapo tunachofanya sasa hivi ni marudio tu!
 
Walikuwa wanafanya lakini si kwa kasai kama ya siku hizi. Na hili lilichangiwa sana na mfumo hafifu wa mawasiliano. Sisi wa kizazi hiki cha dot.com huhitaji kwenda mtaani kwa msichana unayemtaka eti unakwenda ''kumsalandia''. Huhitaji kukaa kijiweni kusubiri apite kwenda dukani au bombani ndipo upate muda wa kuongea naye. Mambo yote ni kwenye simu na mtandao wa internet! Appointments zote zinakamilishwa kwenye simu inabaki utelekezeji tu. Zamani ilikuwa vigumu sana, na ndio maana labda kizazi chetu kinaonekana kuwa na kasi zaidi katika mambo ya ngono!

Zamani watu walikuwa wanafukuzia demu hata miezi sita. Si kwa kuwa demu alikuwa mgumu kukubali, la hasha, bali mawasiliano duni baina yao ndiyo yaliyopelekea kutopata muda wa kuongea na kufikia muafaka. Siku hizi mnaweza kukutana facebook leo, baada ya siku mbili mtu umeshakula mzigo!
 
haya ticha wa kujitolea so tunaanza na iiii ndio a aaa inamkia juuu aaaaaa,iiiiiiiiii ndio e eee.........,ba,be,bi bo, buuuuuuuuuuuu
Waonaje nikikufunza mie? Kazi kama hii bujibuji haiwezi
 
nadhani sio vizur kuwawazia wazazi kwa stye hii.
wazazi ni wazazi tu hata kama walitupata ktk uchangudoa enzi za ujana wao bado ni wazazi na wanastahili kuheshimiwa.
 
Mi sijui unazungumzia ndoa zipi,sijui ile ya kwenda kwenye nyumba za ibada na kuvalishana vyuma kisha kusain makaratasi au ile ya kukubaliana ndani ya mioyo yenu kwa udhati bila kuwa na vitu vya kuonekana!
 
Uda'a aisee hii avatar yako kila nikiiona inanifanya nisikitike sijui kwa ninin.. may be sababu ya hilo chozi!
 
Kitendo cha kujamiaana baada ya ndoa hiyo sio ngono bali hilo ni tendo la ndoa ambalo limepata baraka kutoka kwa wazazi na Mungu mwenyewe. Kwa maana hiyo kama walifanya baada ya ndoa hiyo sio ngono, hakuna mtu anayeanza ngono baada ya ndoa maana tayari wana ruhusa ya kufanya hivyo ili mradi wakubaliane na wawe na kiasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…