Nimefika mahali nikakuta mashabiki wa Simba wanafurahi kwa ushindi wa leo wa yanga nikastaajabu!
Nilipouliza huu urafiki umeanza link,wakasema kila yanga ikishinda wanapewa tunda bure bila malipo kwa furaha wanayokuwa nayo mashabiki wengi wa uto.
Je wadau jambo hili ni kweli?
Mimi nina mke na sihitani hiyo huduma sehemu nyingine