Je,ni kweli Yanga wana HALI NGUMU/MBAYA

Je,ni kweli Yanga wana HALI NGUMU/MBAYA

delako

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2012
Posts
2,902
Reaction score
1,875
Habari wana jf,
Naomba moja kwa moja nijielekeze kwenye hoja/mada ambayo binafsi inanisumbua sana
Kwanza nadeclare interest mimi ni mshabiki/mpenzi wa team hii ya Yanga na nafarijika sana na juhudi zinazofanywa na baadhi ya wapenzi/mashabiki wanaoichangia team ili ivuke hapa ilipo!
Na binafsi nikipata fursa ya kuunganishwa moja kati ya MA group hayo nami nitachangia kiasi.
Nirudi kwenye hoja hivi ni kweli team hipo katika hali ngumu?? Nasema hivi kutokana na safari ambazo imesafiri mpaka sasa kwani wametumia ndege kutoka Dar mpaka shinyanga then wakapanda ndege mpaka kagera kama haitoshi wakarudi kwa ndege mpaka Dar kwa tulivyozoea miaka ya nyuma team ikiwa na hali Mbaya basi Dar Bukoba ni kwa gari/bus na wakijitahid sana wanarud na point 1 ila kwa sasa ni tofauti
Pili team inasajiri mpaka wachezaj wa kimataifa kama sijakosea ni beki mkongo/kuna golikipa??? Upande wa pili Beno amegoma coz hajalipwa staiki zake sasa hapa nashindwa kuelewa hyo pesa ya usajiri mpya si angelipwa yule aliyepo??
Naamini Kabisa kuna wajuzi wapo karibu sana na team kama kweli shida/matatizo haya yapo basi tuendelee kushirikishana na kuwekana wazi kabisa na kwanini wanaotaka kugombea urais/uenyekiti wasitumie kipindi hiki kama kampeni na kuiokoa team??
 
Wanamkataba na sport pesa hela ndefu tu wanapata.
Harafu haya magoli wanayopata dakika za mwisho haya nina................ ..[emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322]
 
Wewe ni shabiki unaependa kusikia mambo mazuri tu ya timu yako mabaya hupendi hata km yanaukweli ndani yake.
Nirudi kwenye hoja yako, ukweli ni huu yanga hakuna ukata kwa sasa, ndiyo maana wanapanda ndege tu!
 
Habari wana jf,
Naomba moja kwa moja nijielekeze kwenye hoja/mada ambayo binafsi inanisumbua sana
Kwanza nadeclare interest mimi ni mshabiki/mpenzi wa team hii ya Yanga na nafarijika sana na juhudi zinazofanywa na baadhi ya wapenzi/mashabiki wanaoichangia team ili ivuke hapa ilipo!
Na binafsi nikipata fursa ya kuunganishwa moja kati ya MA group hayo nami nitachangia kiasi.
Nirudi kwenye hoja hivi ni kweli team hipo katika hali ngumu?? Nasema hivi kutokana na safari ambazo imesafiri mpaka sasa kwani wametumia ndege kutoka Dar mpaka shinyanga then wakapanda ndege mpaka kagera kama haitoshi wakarudi kwa ndege mpaka Dar kwa tulivyozoea miaka ya nyuma team ikiwa na hali Mbaya basi Dar Bukoba ni kwa gari/bus na wakijitahid sana wanarud na point 1 ila kwa sasa ni tofauti
Pili team inasajiri mpaka wachezaj wa kimataifa kama sijakosea ni beki mkongo/kuna golikipa??? Upande wa pili Beno amegoma coz hajalipwa staiki zake sasa hapa nashindwa kuelewa hyo pesa ya usajiri mpya si angelipwa yule aliyepo??
Naamini Kabisa kuna wajuzi wapo karibu sana na team kama kweli shida/matatizo haya yapo basi tuendelee kushirikishana na kuwekana wazi kabisa na kwanini wanaotaka kugombea urais/uenyekiti wasitumie kipindi hiki kama kampeni na kuiokoa team??
Watu wanao isaidia Yanga kwa sasa ni Wanachama na Mashabik wenye moyo wa kutoa. Kuna wanao toa tiket za ndege na wengine wanagharamia usajiri . Ni timu ipendwayo na watanzania wengi na kwasasa haina uongozi kwa maana ya Jopo la uongozi lililo gawanyika kimajukumu. Viongoz walio na timu kwa sasa wanapitia katika hali ngumu. Kinachotakiwa Mwenye moyo wa kutoa atoe kuisaidia timu kama kusajili au kupunguza madeni yaliyopo. Timu ya Yanga ni yawananchi wakihamasishwa vizur hawashindwi.
 
Mkuu kuelekea Kila game matawi yote hasa ya Dar tunachanga hela kiasi ulicho nacho,mfano tawi langu huwa haipungui 1million+ kwaajili ya safari etc pia Kila inapoenda mashabiki wenyeji wanacover kila kitu kama kulala, msosi na usafiri....na nasikia kuna wafanyabiashara, viongozi kadhaa mashabiki wanaichangia bila wao kutaka kutajwa.
 
Back
Top Bottom