bro kay JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 254 Reaction score 222 Jan 1, 2017 #1 Habari wana jamvini, Je ni kweli mama mwenye virus vya ukimwi akijifungua mtoto mchanga haruhusiwi kumnyonyesha huyo mtoto mchanga?
Habari wana jamvini, Je ni kweli mama mwenye virus vya ukimwi akijifungua mtoto mchanga haruhusiwi kumnyonyesha huyo mtoto mchanga?
texaz mc JF-Expert Member Joined Jan 15, 2016 Posts 371 Reaction score 205 Jan 1, 2017 #2 hapana, ila kutomnyonyesha inasaidie asimuambukize virus mtoto pale mtoto atapobahatika kuzaliwa bila virusi hao.
hapana, ila kutomnyonyesha inasaidie asimuambukize virus mtoto pale mtoto atapobahatika kuzaliwa bila virusi hao.
Msherwa JF-Expert Member Joined Aug 4, 2012 Posts 1,323 Reaction score 1,230 Jan 1, 2017 #3 Ukimwi? Sio sana! Labda ZIKA Hapo hata kuzaa haruhusiwi Asante (Mungu?) kwa UKIMWI, Maana Zika ni habari nyingine Mama amnyonyeshe mtoto hadi pale anapoona ngozi au mapengo ya mtoto yamekomaa kiasi cha kuweza kuleta michubuko kwenye chuchu hata kama ni midogo.
Ukimwi? Sio sana! Labda ZIKA Hapo hata kuzaa haruhusiwi Asante (Mungu?) kwa UKIMWI, Maana Zika ni habari nyingine Mama amnyonyeshe mtoto hadi pale anapoona ngozi au mapengo ya mtoto yamekomaa kiasi cha kuweza kuleta michubuko kwenye chuchu hata kama ni midogo.