Baadhi ya watu hudai kwamba wanawake hutumia muda mwingi kufikiria namna ya kujenga maisha, kama vile jinsi ya kuwa na maisha mazuri. Lakini kwa upande mwingine wanaume wanaonekana kutumia muda mwingi kufikiria suala la kimapenzi zaidi. Hivyo mwanamke huonekana ni mtu wa kufikiria mambo mazito wakati mwanaume anafikiria mambo mepesi mepesi tu! Je kuna ukweli katika hilo?
mmhhh mwanamke anafanya
yote haya pamoja nakufikiria mapenzi
(siwezi ongelea sana upande wa wanaume)
ingawa bado tunatoana ngeu na partner zetu
lakini tukikaa chini na kuchangia mawazo always
utapata perfect product.. maana wote tuna akili
tofauti.. lakini papo hapo napenda kuuaminiakili
za wanaume kadhaa ziko ndani ya surali
Acha kusingizia mbona cjawaza kukutoa ngeu?
Ngoja nikuongeze kengine. Kuna ka-newz kanazunguka katika duru za mtandao kuwa, Uzoefu unaonesha kuwa wale wanaume wenye mafanikio makubwa na power katika jamii wana very high sex drive, na wengi wana wanawake wengi sana. Vipi hii nayo ni kweli???
mfano nani AD?mmhhh mwanamke anafanya
yote haya pamoja nakufikiria mapenzi
(siwezi ongelea sana upande wa wanaume)
ingawa bado tunatoana ngeu na partner zetu
lakini tukikaa chini na kuchangia mawazo always
utapata perfect product.. maana wote tuna akili
tofauti.. lakini papo hapo napenda kuuaminiakili
za wanaume kadhaa ziko ndani ya surali