Hivi ni kweli kwamba mwanamke mwenye matiti malaini ameshachakachuliwa sana mpaka basiiiiiiiiiiiii au ni maumbile na mambo mengine kama mazingira na aina ya msosi?
maziwa malaini hutokana na kuwa mdada kashawahi kunyonyesha mtoto au kutoa mimba. may b kuna mwngne ana ufahamu zaidi! for more info mtoa mada hamisha post yako kwenda kwa wataalamu zaidi Jf doctor
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.