Je ni kweli

Je ni kweli

GABE100

Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
51
Reaction score
2
Hivi ni kweli kwamba mwanamke mwenye matiti malaini ameshachakachuliwa sana mpaka basiiiiiiiiiiiii au ni maumbile na mambo mengine kama mazingira na aina ya msosi?
 
Aisay kumbe yakiwa malaini ndo anakuwa laini, na yakiwa magumu anakuwa mgumu.

Dogo kasome shule, afu weka akilini kitu kimoja...Huwezi kuwasoma wanawake kwa matiti au mi sondo yao, hata siku moja :biggrin:
 
Mh sijui mimi zero,kwani kuna matiti magumu?unapimaje ndugu,
 
ha ha ha ha, hardness inaanzia ngapi? Kwa kipimo gani?

Umanikumbusha how to measure hardness of a rock, ukiweza kuscratch kwa ukucha, ni soft.
 
hili swali linaweza kusababisha watu tuulize maswali yakatuletea ban, burn pamoja na bun....

Anyway.....

Nanilii ikiwa laini ina maana imechakachuliwa sana au ni maumbile? Loh ...........
 
eeeeee! Umefananisha na embee nin!
 
maziwa malaini hutokana na kuwa mdada kashawahi kunyonyesha mtoto au kutoa mimba. may b kuna mwngne ana ufahamu zaidi! for more info mtoa mada hamisha post yako kwenda kwa wataalamu zaidi Jf doctor
 
Back
Top Bottom