JE ni kweli?....

MwanajamiiOne

Platinum Member
Joined
Jul 24, 2008
Posts
10,470
Reaction score
6,580
Nimesoma katika blog ya The Hill of Wealth eti.....
Mwanamke amaye ni mwepesi kutoa machozi mara nyingi anakuwaga ni mzuri sana lipokuja suala la hisia katika maeneo yote ya maisha hii ina maana kwamba mwanamke mwenye kumwaga chozi mara kwa mara ni mtamu chumbani kwa sababu anaweza kujieleza katika lugha ya mapenzi (love making, act of marriage) Na mwanamke mwenye macho makavu maana yake ni mgumu kuji –express wakati wa kuwa mwili mmoja.

Wanawake wenye machozi ni mara chache sana kuwa baridi (frigid) wakati wa kuwa mwili mmoja kwani ukimwandaa ni rahisi kuwa connected kihisia.​


Je ni kweli? Kama ni mweli kuna umuhimu wa kuhudhuria misibani ili kuweza kupata wachumba?​
 
Wenye uzoefu waje kusema kweli. Yo yo , fidel na Bubu ataka kusema
 
Mnh, kwa ku cheat hao!!!

...na experience mbaya sana na wanawake wanaotoa machozi na kuangusha vilio hata kwa mambo madogo madogo. Wanawake hao mara nyingi 'wamejaaliwa' tabia za u -selfish, -insecure, -untrustworthy na -unfaithfulness!
 
saa nyingine inategemea na jamii..kwa wazungu...labda..kwa siye....tabia halisi ya mtu ndo ina chukua nafasi kwanza! kujiliza inawezekana wakaigiza tu 'kukuibia'..inabidi kuwa mjanja...hasa huwa analia wakati gani??
 
...Swali zuri. Analia wakati gani hasa? Maana bi mkubwa ambaye mkigombana kidogo tu, Chozi. Akiomba kitu ukimuambia avute subra, chozi. mkianza tu ku-do, chozi! mmmm, anatia watia wasiwasi maana itafika mahali mwanaume ataona anatumia machozi yake for her selfish end!
 
hehehe ngoja niifanyie kazi hii haswaaa umegusa Ikulu.

Ah wewe Fidel siyo kwa maana unayofikiria wewe. Hii ni kujie-xpress kwa maana halisi ya neno hilo yaani kuelezea, kuonyesha hisia/ feelings zake.

Pole duh yaani wewe umeshaathirika kabisa na hii kitu. lol
 
Ah wewe Fidel siyo kwa maana unayofikiria wewe. Hii ni kujie-xpress kwa maana halisi ya neno hilo yaani kuelezea, kuonyesha hisia/ feelings zake.

Pole duh yaani wewe umeshaathirika kabisa na hii kitu. lol

Haya ahsante ulishanipeleka kunako yaani we acha.
 
Hi wajameni wa pande hii. Ni siku nyingi sijatokea humu. Natokea tu nakutana mchokozi MJ1.
Kwenye mada
Mj1 na wengine,
Kwa uzoefu wangu wanawake wa aina hii ni watu hatari sana. Ila kwa utamu ni watamu hasa. Ni wepesi kudanga kwa kutumia silaha ya machozi. Wana joto sana hasa wanapolia na hii husababisha hali fulani ambayo ukiwa karibu utavutiwa tu kufanya majambozi na kusahau kuwa saa chache kama sio dakika kulikuwepo na kuhitilafiana.
Kwa uchache ni hayo.
 

Tafadhali ntake radhi- nimekuchokoa wapi? (Joke)

Mh kwa hiyo unakubali kuwa ni watamu . Sasa kama unasema ni hatari pia mbona unaharibu uhondo? Si wanasema mwanamke kudeka kidogo sunna? Unajisikiaje ukiwa faragha na mdada mwenye kulialia?
 

Eti Mchokozi!!
 
Tafadhali ntake radhi- nimekuchokoa wapi? (Joke)

Mh kwa hiyo unakubali kuwa ni watamu . Sasa kama unasema ni hatari pia mbona unaharibu uhondo? Si wanasema mwanamke kudeka kidogo sunna? Unajisikiaje ukiwa faragha na mdada mwenye kulialia?

...sawa na mbwa kujipekea mdomoni mwa chatu. Unajua 'kamegwa' nje na uwezekano katika hao, mmoja wao ameathirika lakini machozi yake yanakulainisha... ujinga mtupu!
 
...sawa na mbwa kujipekea mdomoni mwa chatu. Unajua 'kamegwa' nje na uwezekano katika hao, mmoja wao ameathirika lakini machozi yake yanakulainisha... ujinga mtupu!

Mh Mbu ina maana kumegwa nje ni hulka ya hawa wanaolia lia au kwa mtu yeyote ila hawa wanatendence ya kujitetea kwa machozi?

Unajisikiaje ukiwa na mwanamke ambaye hatoi vilio uwanjani? wengi wenu huwa mnasema akiwa analia basi unapata sifa kuwa unajua kushughulika au? Unamwadhibu kisawasawa
 
Tafadhali ntake radhi- nimekuchokoa wapi? (Joke)

Mh kwa hiyo unakubali kuwa ni watamu . Sasa kama unasema ni hatari pia mbona unaharibu uhondo? Si wanasema mwanamke kudeka kidogo sunna? Unajisikiaje ukiwa faragha na mdada mwenye kulialia?

Yeah kumradhi MJ1,,,, Hata hivyo we mchokozi !!!! kama si vijambo basi mambo.
Ni hatari maana wanaweza kukuharibu akili kwa kilio chao. Mshamba wa mambo haya anaweza akachomoka kwa kuzani kaua kumbe raha.com. Wanafanikiwa sana kuwateka baadhi ya midume maana katikati ya shughuli na mtu huku analia akipenyeza ombi mara nyingi sio rahisi kuchomoka hapo. By the time wajarealise ushapromise ka bajaj!
Mwanamke akiwa analia hata kama hujamtongoza halafu ukamkumbatia huwa anakuwa na joto la juu sana na hapo ni hatari kama hutakata shauri. Hata MJ1 jaribu, uko msibani labda halafu tafuta upenyo chagua yule alolia sana (sio aliyekuwa anaigiza kulia) ujifanye kumkumbatia uje hapa utuambie hako kajoto kakoje.
Lakini kuna haka kamtindo ka hawa akina dada huliaga kumwibia mjamaa. Hawa wako kibiashara zaidi. Hutumia vilio ili khamasisha mjamaa aongeze bidii. Na ikibidi na chati yake ipande. Maana utasikia tunaambiana ahh demu flani analiaga huyo sijapata kuona. Ukisikia hivyo na kesho anarudi tena hapo hapo. Sio mchezo umemfurahisha ila! KILIO.
 

ah umenichakesha sana ati nitafute mwenye kulia nimkumbatie duh. Pagumu hapo kaka!

Hujatulia hata kidogo shemeji yangu yaani eti wezajikuta umepromise ka-bajaj!! Lakini si unaweza kupromisua- Kurevise promise unasema tu kuwa hukuwa na akili timamu ulipotoa promise au? Hairuhusiwi?
 


hiyo labda mahakamani,,,,,
 

Mara nyingi wanaume wakipenda kweli kweli hawathubutu kuvunja promise. Ukiona mwanaume anayevunja promise basi huyo ni Fataki. Huwa tunakwazika sana maana miahadi kibao inabidi ujipinde ukamilishe ahadi la sivyo utashtukia unaingia mitini na huku ka roho kanakuuma ukikumbuka mtoto alivyo. Ndo maana nikwakwambi ni hatari sana hawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…