MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Nimesoma katika blog ya The Hill of Wealth eti.....
Mwanamke amaye ni mwepesi kutoa machozi mara nyingi anakuwaga ni mzuri sana lipokuja suala la hisia katika maeneo yote ya maisha hii ina maana kwamba mwanamke mwenye kumwaga chozi mara kwa mara ni mtamu chumbani kwa sababu anaweza kujieleza katika lugha ya mapenzi (love making, act of marriage) Na mwanamke mwenye macho makavu maana yake ni mgumu kuji express wakati wa kuwa mwili mmoja.

Wanawake wenye machozi ni mara chache sana kuwa baridi (frigid) wakati wa kuwa mwili mmoja kwani ukimwandaa ni rahisi kuwa connected kihisia.
Source: The Hill Of Wealth
Je ni kweli? Kama ni mweli kuna umuhimu wa kuhudhuria misibani ili kuweza kupata wachumba?