Je ni lazima katiba mpya ikae miaka mingi mf 50-100 kabla ya kuandikwa tena?

Je ni lazima katiba mpya ikae miaka mingi mf 50-100 kabla ya kuandikwa tena?

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Nawasikia watu wengi wakisema eti tukiharibu hapa tutakuwa tumejiharibia miaka mingine 50 mbele!Ama utasikia Kenya wameanza kujuta kwa kupitisha katiba waliyodhani ni mkombozi na sasa magavani wa county wanatunga sheria za uwanyanyasa!

Je kuna sheria inakataza kuandikwa upya katiba hata ndani ya miaka mitano iwapo tunaona mchakato huu umetekwa na chama kimoja cha siasa makusudi ama kundi la watu wenye nia mbaya?

Je iwapo chama kingine kitaingia madarakani,hawawezi kuanzisha mchakato wa haki hata ndani ya miaka mitano ukiwashirikisha wananchi bila kuruhusu mchakato kutekwa na wanasiasa?
Tafadhali naomba kupata ufahamu wa hili.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Hizo pesa, muda na posho za kutengeneza Katiba kila baada ya miaka mitano kweli tunazo...., Anyway kama Katiba ni ya wananchi na wenyewe ndio wanaamua kinachowekwa huoni kwamba mawazo yao ni vigumu kubadilika within muda mchache.., alafu sio lazima katiba iandikwe upya mwanzo mwisho sheria/vipengele (AKA Viraka) vinaweza kuongezwa kwenye Katiba
 
Back
Top Bottom