Hivi vitu ukifuatilia kwa makini na ukafanya utafiti haswaa, conclusion inakuja mwanaume unatakiwa uwe na hela hakuna namna nyingine yaani.Duuuuh! We jamaa haupo serious aseeee. Unataka ukienda kwa mwanamke wako akupe nauli kama wewe unavyompa yeye akija kwako? Really!!
Labda itokee yeye anakuhitaji uende kwake halafu huna hela ukamwambia kisha yeye akuambie nenda tu nauli atakulipia hapo walau kidogo inaleta maana, vinginevyo mwanaume pambana uwe na hela, la utadharaulika sana