Je, ni lazima nahodha wa Taifa Stars awe ni Mbwana Samatta?

Kwani nani kasema captain upewe mchezaji mwenye kiwango bora.

Hata kwa mchezaji wa kawaida tu anaweza kuwa captain kwahiyo usishangae kwa sammatha
 
Siku akipatikana playmaker wa Kitanzania atakayekuwa anapanda na kushuka kwa speed ndiyo nitaanza kushabikia mpira wa kibongo.​
 
Hawezi kuhatarisha future yake kwa kuumia kwenye timu ya taifa
Kifupi hawa wachezaji tuwe tunawashukuru tu kwa michango yao.We nchi karne ya 21 hii bado tunapambana na masuala kama maji huo mpira biriani wa kutukonga nyoyo sawa na matarajio yetu tunautoa wapi?.Labda Lissu awe rais tuone!.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Sioni tatizo sana yeye kua Nahodha wa timu ya Taifa kwani ana sifa za upambanaji.

Naona zaidi tatizo kwenye kiwango chake kwani kuna mda anajaribu kulazimisha sana yeye kufanya jambo spesho kitu ambacho hakuna ulazima sana.

Nikwakua tu hatuna wachezaji wengi wakumtishia namba nahapa ndio kwenye shida,ungekua na strikers kadhaa wanaoweza kumchallange angeweza jifunza chochote.

Tutengeneze wachezaji ili tue na chaguzi mbalimbali yani siku mwalimu anapanga timu Samatta anaanzia nje na alienza ana onesha uwezo hapo ndio tutakua tumekomesha.
 
Wabongo acheni zengwe.Burundi wanatusumbuaga tu wala akunaubishi.
 
Sioni tatizo sana yeye kua Nahodha wa timu ya Taifa kwani ana sifa za upambanaji.

Naona zaidi tatizo kwenye kiwango chake kwani kuna mda anajaribu kulazimisha sana yeye kufanya jambo spesho kitu ambacho hakuna ulazima sana.

Nikwakua tu hatuna wachezaji wengi wakumtishia namba nahapa ndio kwenye shida,ungekua na strikers kadhaa wanaoweza kumchallange angeweza jifunza chochote.

Tutengeneze wachezaji ili tue na chaguzi mbalimbali yani siku mwalimu anapanga timu Samatta anaanzia nje na alienza ana onesha uwezo hapo ndio tutakua tumekomesha.
Ni kwakuwa hatuwapi nafasi akina Mzamiru, Waziri junior lakini wangeweza kuleta matokeo kuliko Samatta. Kwangu mimi Msuva anapigania timu kuliko Mbwana. Ni Heri unahodha akapewa Msuva Mara 200
 
Si lazima Samata awe kepten na wala si lazima mwingine awe na si yeye.
Kama umetumia kigezo cha kujua na umaarufu ndo humfanya mchezaji kuwa kepten basi unakosea sana....hapo Egypt Kuna mtu anaitwa El ghazi anacheza Aston Villa ndo kepten wakati Kuna Salah anatuzo ya Mchezaji bora Africa...Mchezaji bora EPL... Mfungaji bora EPL Mara mbili...Mshindi wa UEFA...mshindi wa EPL na hajapewa kitambaa...
Wakati huo hapo Senegal Sadio Mane mwenye sifa hizo za Mo Salah yeye kapewa kitambaa...
Timu ya Brazil ilikua na Kina Ronaldo Delima...Rivaldo...Ronaldinho na Kaka lakini kitambaa alivaa Cafu.
Huko Ufaransa kulikua na Wanyama wengi pia na Kitambaa alivaa Zidane hawakumpa Abidal au Sagno..mambo hayana mfumo haya mkuu.
 
sasa huu wa kwetu ni ushamba au ulimbukeni? wamwache samatta a concentrate kwenye mambo yake, mambo mengi hayawezi. kwanza anaogopa kupoteza ajira yake kama atavunja mguu wake kwenye ndondo mechi za taifa stars. Mbwana ana pressure za wazazi, familia, mashabiki, club yake na u captain wa ndondo
 
Back
Top Bottom