Da Gladiator
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 1,641
- 2,646
Mkuu Sammatha ni demu wangu, au ulimaanisha Sammata ?!Kwani nani kasema captain upewe mchezaji mwenye kiwango bora.
Hata kwa mchezaji wa kawaida tu anaweza kuwa captain kwahiyo usishangae kwa sammatha
So far, najilaumu kuwaunfollow Villa.